WWW.AZCHORDS.COM | Hakuna Mungu Kama Wewe  Chords – Kiswahili Worship | Version #1
                
                
            
  G               C
Hakuna mungu kama wewe (There is no God like you)
  G               D
Hakuna mungu kama we (There is no God like you)
  G               C
Hakuna mungu kama wewe (There is no God like you)
  G       D       G
Hakuna na hatakuwepo (There is none and there never will be)
  G        C
Nimetembea kote kote (I've traveled and traveled all over, over)
  G        D
Nimetafuta kote kote (I've searched and searched all over, over)
  G        C
Nimezunguka kote kote (I've gone round and round all over)
  G       D       G
Hakuna na hatakuwepo (There is none and there never will be)